Ukulima

Ukulima смотреть последние обновления за сегодня на .

Ukulima wa strawberry Kenya - Sehemu ya Kwanza (1) Fresh and Fruity

17986
104
13
00:16:02
23.01.2019

Ukulima wa strawberry Kenya: *Strawberry Farming in Kenya Katika kipindi cha Fresh and Fruity, tunakueleza jinsi ya kukuza matunda ya strawberry ili kuwa na mazao bora ambayo yatakuwezesha kupata soko la uhakika, bila vipingamizi. 🤍farmers.co.ke is the site for authoritative multimedia agricultural and agribusiness content. Visit us today for farming news, agribusiness tips, practical expert advice and industry updates. For farming tips send the word FARMERS to 22071 (no charges) JOIN FB GROUP: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 WATCH KTN FARMERS TV ON BAMBA, PANG, GOTV, STARTIMES AND ALL FREE TO AIR SETTOP BOXES

Kilimo sawa: Ukulima Bora wa Mahindi

7672
34
2
00:19:47
17.10.2014

Filamu hii chini ya mradi wa e- Warehouse imejumuisha taratibu mseto ambazo mkulima anaweza kufuata ili aweze kunufaika kwa mapato bora atayoyapata, pindi tu atakapo fuata mawaitha aliyosimuliwa. Taratibu mpya za ubora wa maharagwe na mahindi vimewekwa ili kurahisisha na kuimarisha biashara ya ya mimea hizi katika eneo hili.

Ploughing with cows (Ukulima ngezinkomo)

4180
23
0
00:00:31
17.11.2020

A plough or plow is a farm tool for loosening or turning the soil before sowing seed or planting. Ploughs were traditionally drawn by oxen and horse

Mawaidha Ya Ukulima Bora Wa Sungura | James Kibuku

41
1
0
00:00:45
12.11.2022

Je, unafikiria kuanza ukulima wa sungura? James, mkulima mkubwa wa sungura kutoka Nakuru ana mawaidha. 😃 Inspiring Farmers and Farming. #Najua

pawpaw farming makes millionaires: Ukulima sio Ushamba (Part 1)

5266
81
18
00:22:20
17.05.2021

Ukulima sio Ushamba. God blessed the land, for us to till it and unearth the treasure therein hidden. Those who have known this secret, don't regret. This video focuses on various opportunities around Agribusiness and how best you can invest your few amounts, to harvest in millions. Watch to the end to get special offer from the farmer. He will as well give his contact in the video.

Ukulima wa mboga || AKILI SHAMBANI

182
0
0
00:26:43
25.05.2022

AKILI SHAMBANI/14th July 2021

Ukulima wa Kitunguu Saumu

4492
25
4
00:03:22
19.11.2020

KILIMO BIASHARA | Ukulima wa matunda damu

2314
11
2
00:02:57
06.03.2019

Katika makala ya juma hili ya kilimo biashara, tunaangazia kilimo cha matunda damu ambapo mkulima George Wambugu alikutana na mwanahabari wetu Denis Otieno alikutana naye kaunti ya Nyeri. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Bomet: Ukulima wa parachichi za kisasa maarufu "Hass Avocado"

1626
14
4
00:02:37
22.12.2021

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Ukulima wa Kitunguu Laikipia

1460
6
3
00:09:10
03.10.2021

Ukulima wa Kitunguu Laikipia

ORNAMENTAL BIRDS FARMING | DHAHABU YA UKULIMA

9409
105
12
00:43:06
19.12.2020

#Dhahabu Ya Ukulima #Phyllis Mbogo When quail farming became a gold mine for poultry farming in Kenya, Janet jumped in but lost 1000 birds. Today, the resilient urban farmer, has bounced back providing farmers with her expertise and services like the egg incubator. FACEBOOK PAGE 🤍Mwangazatv 🤍 TWITTER 🤍Mwangaza_tv 🤍

Ukulima wa ndizi na passion fruit- ukulima bora episode 2

11999
51
8
00:18:27
09.05.2018

Fahamu upanzi wa ndizi na matunda ya passion kutoka shamba la black swan. written by Eric Lumbasi Directed by Hiran Mugaisi

Ukulima wa minyoo ya ardhi kwa manufaa ya mbolea

613
3
0
00:02:57
22.09.2020

Minyoo hawa wekundu aina ya red worm hutoa kioevu ambacho wakati kinapuliziwa shambani, kinazuia mimea kuadhiriwa na magonjwa na aina zingine za wadudu kando na kunawirisha mimea hiyo.

Ukulima wa kisasa, ng'ombe wanaolalia godoro

123
0
1
00:03:34
17.12.2020

Kama wewe ni mfugaji wa ng'ombe na unataka maziwa mengi basi huna budi ila kugeukia mfumo wa kisasa wa lishe zizini yaani zero grazing na kuwawekea ng'ombe magodoro Machakos. #TV47News

ukulima Bora

58
3
0
00:01:37
04.03.2022

Kilimo sawa: Ukulima Bora wa Maharagwe ya Kawaida

25590
94
4
00:15:25
16.10.2014

Filamu hii chini ya mradi wa e- Warehouse imejumuisha taratibu mseto ambazo mkulima anaweza kufuata ili aweze kunufaika kwa mapato bora atayoyapata, pindi tu atakapo fuata mawaitha aliyosimuliwa. Taratibu mpya za ubora wa maharagwe na mahindi vimewekwa ili kurahisisha na kuimarisha biashara ya ya mimea hizi katika eneo hili.

| KILIMO BIASHARA | Ukulima wa Malenge Makubwa

3989
12
3
00:02:43
24.04.2019

Kilimo cha malenge katika kaunti ya Nyeri kimechukua mtindo mpya. Wakulima sasa wanaacha kukuza malenge ya kawaida na kupanda malenge makubwa kama njia ya kuboresha mapato. Baadhi ya malenge aina hii yana uzito wa kati ya kilo thelathini hadi kilo arobainne na tano. Kwenye makala ya kilimo biashara, mwanahabari wetu Denis Otieno alitembelea mkulima mmoja anyekuza mmea huu na kusaga unga wa zao hilo. #KilimoBiashara #DennisOtieno Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Ukulima wa Nyanya Ruai Nairobi

171
1
0
00:27:19
08.03.2022

Mwanamke Ngangari: Aliyewacha kazi ya benki na kujitosa katika ukulima

93259
25
6
00:03:36
13.09.2015

Hii leo kwenye makala yetu ya kila jumapili ya Mwanamke Ngangari tunamwangazia mwanamke mmoja kutoka eneo la Marura kaunti ya Uasin Gishu aliyewacha kazi yake ya benki na kujitosa mavumbini anakoendeleza ukulima wa mimea ambayo ni nadra sana kupatikana katika maeneo hayo..Elvis Kosgei anaarifu kwenye makala hayo Watch KTN Live 🤍 Watch KTN News 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

Kilimo Biashara | Anthony Muigai anatumia kinyesi kwa ukulima wa kuunda gesi

1850
19
5
00:03:06
07.12.2022

Ufugaji wa kuku umeigwa na wengi walio na ari ya kujinufaisha kutokana na ufugaji huku mbinu mbalimbali za kuimarisha mazao zikibuniwa. Baadhi ya wakulima hawa sasa wakianza kutumia kinyesi cha kuku kuzalisha gesi itakayotumika kupata nguvu za umeme katika mashamba yao.

Ukulima SACCO celebrates 50 years of existence while launching the 2022/26 strategic plan #TV47News

131
1
0
00:02:05
28.02.2022

Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47. is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. We have a diverse menu of programming. Switch on today for the best in infotainment. Give us feedback on our news, features and interviews. Also, tell us what you'd like us to bring to you. For Breaking News, kindly subscribe by sending NEWS to 22047. Connect with us: Website: 🤍 Facebook: 🤍 Twitter: 🤍 Instagram: 🤍

| KILIMO BIASHARA | Ukulima wa nyumbani maeneo ya mjini unazidi kunoga

1587
4
2
00:02:46
04.03.2020

Mara nyingi wengi wetu hudhania kuwa kuendesha kilimo ni lazima mtu awe na sehemu kubwa ya ardhi. Lakini kwa Subiri Obwogo, sehemu ya nyumba yake imekuwa shamba lake ambapo anafuga ndege na hata kukuza mimea. Denis Otieno anaangazia kilimo chake katika kilimo biashara wiki hii #KilimoBiashara

Jasho langu: Ungana naye Eric Mutwiri anayefanya ukulima wa kisasa

762
5
0
00:03:20
17.01.2023

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

UKULIMA WA SUKUMA WIKI

289
7
1
00:25:38
21.07.2022

SUKUMA WIKI FARMING

Je, unaelewa kuhusu ukulima mjini? Sikiliza koch Asubuhi Kila Ijumaa .

52
5
2
00:01:06
07.06.2022

Je, unaelewa kuhusu ukulima mjini? Sikiliza koch Asubuhi Kila Ijumaa kwa mahojiano na wataalam, tufuate kwenye mitandao ya kijamii (Facebook🤍kochfmradio, instagram🤍kochfm.korogocho, Youtube🤍KOCH FM RADIO) pia kwa habari na taarifa kuhusu Kilimo mjini. #urbanfarming #APHRC #healthyfoodafrica Sikiliza KochFM LIVE kupitia 🤍

| KILIMO BIASHARA | Ukulima wa Mananasi Nandi

1417
8
0
00:02:39
21.08.2019

Kilimo cha mananasi kimeanza kunoga katika sehemu nyingi za mashinani nchini. Kilimo hiki kimewapa wakulima wengi wadogo fursa ya kuboresha kilimo chao huku wakiachana na kilimo cha mimea ya kawaida. Kwenye Makala ya Kilimo Biashara wiki hii, mwanahabari wetu Denis Otieno aangazia Kilimo cha nanasi katika kaunti ya Nandi

Ukulima ni faida

69
4
0
00:16:20
30.08.2022

KILIMO BIASHARA : Ukulima wa maparachichi aina ya hass umekumbatiwa na wengi

1955
17
1
00:02:52
20.07.2022

Ukulima wa maparachichi aina ya hass umekumbatiwa na wengi Kilimo cha maparachichi ya kampuni ya Kakuzi Makuyu, Murang'a Tunda la hass lina ganda la kijani hata likiiva, na vidutu vidogo Mparachichi huchukua kati ya miaka 2-3 kabla ya kuzaa matunda

UKULIMA WA KISASA

145
3
0
00:03:50
08.11.2019

Ukulima usiohitaji ardhi almaarufu ; vertical Farming

Wakaazi wa Isiolo wamekumbatia ukulima wa chakula kupitia unyuzaji maji mashamba

742
5
1
00:04:03
29.01.2023

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Ukulima wa Mbuzi na Kondoo || Ukulima Mufti

7547
52
17
00:38:30
11.07.2021

Bw. Paul Njanke anatuelimisha kuhusu ukulima mwema wa Mbuzi na Kondoo.

Ukulima wa pareto wapigwa jeki Nakuru

301
1
0
00:02:33
13.12.2022

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Kilimo Hai (Organic Farming) || Ukulima Mufti

252
1
1
00:43:10
13.07.2021

Je! Unaujuzi katika kilimo hai? Ungana na Robert Mose pamoja na Kelvin Gatobai na Felister Orangi wakufahamishe zaidi kuhusu kilimo hai.

sili ya ukulima safi

2
0
0
00:05:39
15.01.2023

hapa tunakuusia miti ya kupanda na tunapeana masomo ya miti .kalibu ujibatie seedlings mpegu ya South Africa na zinginezo pia tuna kuakikisia ime kua yote shambani ikiwa kunaso asija kua shambani tuna kubadilisia bure bia usafirisaji ni bure Kenya yote na nje hii miti imeitiniawa na serikali ya Kenya kalibu 0729353833

Назад
Что ищут прямо сейчас на
Ukulima ксения корнева лучшее film roll film iblis free fire Hip Hop Awards shahrukh khan jukebox вася габышев الأم الجزائرية 関取 Mini filme dublado Devedor corrigindo xixi do beagle Cübbeli Sharad pawar Max Payne отркрытки цена ���������� ���������������������� ���������������� ���� ���������� 山姆 Roblox doors Ribs